# Alexazanda Hili ni jina la mtu mwanamme # akawapungia mkono ili kuelezea kutigisha mkono akitoa ishara kwa watazamaji ili wanyamaze na aweze kutoa maelezo. # kufanya maelezo Alitaka kutoa hotuba, lakini sio wazi nini alichokuwa anakwenda kusema. # bila ya sauti Kupaza sauti ya watu wote kwa wakati mmoja ilionekana kama sauti moja ikinena.