sw_tn/act/18/01.md

37 lines
898 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Taarifa ya jumla
Hii ni sehemu nyingine ya hadithi ya safari ya Paulo. Kwa sasa yuko Corintho. Akwila na Priskila wanatambulishwa kwenye hadithi katika mstari 2 na 3 inatoa habari ya nyuma kuhusu wao.
# baada ya mambo hayo,
"baada ya matukio hayo kufanyika huko Athene"
# Huko akampata
Inaweza kuwa na maana kwamba: 1) "Paulo alitokea kumpata kwa bahati" au 2) "Paulo alimpata baada ya kuwatafuta kwa nia.'
# Mtu mmoja aliyeitwa Akwira
Hapa anamtaja mtu yule aliyemwona huko naye ni Akwira.
# mzaliwa wa Ponto
Ponto ilikuwa mkoa katika pwani ya kusini ya Bahari ya Nyeusi.
# alikuwa amehamia karibuni
"Hii huenda ni muda fulani kwa miaka ya nyuma"
# Italia
Jina hili ni la nchi. Roma ni mji mkuu wa Italia.
# Klaudia alikuwa ameagiza
Klaudia alikuwa ndiye Kaisari wa Kiroma kwa sasa.
# Alikuwa akifanya biashara waliyoifanya
Alikuwa akifanya aina ya kazi waliyoifaya na wao.