sw_tn/act/17/19.md

29 lines
713 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Wakamchukua
Wanafalsafa wa Waepikureo na Wastoike walimchukua Paulo"
# na kumleta Areopago
kilima katika Athene juu ambayo mahakama kuu ya Waethene ambapo huenda walikutana.
# Twaweza kujua haya mafundisho mapya unayoyaongea
"Twaweza" hapa inamaanisha mafilosopha peke yao. "'Tunataka kufanya uamuzi juu ya mambo haya unayodai "
# wote wa Athene
"Wananchi wa Athene" ni watu kutoka Athene, mji karibu na pwani katika Makedonia (sasa ni Ugiriki)
# na wageni
"Mtu mgeni" au "mtu mpya katika jamii ya Athene"
# hutumia muda wao kwaq hasara
"walitumia muda wao "au "hutumia muda wao"
# kuongea na kusikiliza juu ya jambo jipya
"Kujadili mawazo mapya ya falsafa" au "kuzungumza juu jambo jipya kwao'