sw_tn/act/14/05.md

29 lines
617 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Hapa waliopata habari ni Paulo na Barnaba.
# walijaribu kuwashawishi viongozi wao
"walijaribu kuwashawishi viongozi wa Ikonio." Hapa "walijaribu" inaashiria hawakuweza kuwashawishi kikamilifu kabla ya mitume kuondoka katika mji.
# kuwatesa na kuwapiga mawe Paulo na Barnaba
"kuwapiga Paulo na Barnaba na kuwaua kwa kuwaponda mawe"
# Likaonia
Wilaya ndani ya Asia Ndogo
# Listra
Mji ndani ya Asia Ndogo kusini mwa Ikonio na Kaskazini mwa Derbe
# Derbe
Mji ndani ya Asia Ndogo kusini mwa Ikonio na Listra
# huko walikuwa wakihubiri injili
"Paulo na Barnaba walihubiri injili pia huko"