# Taarifa ya Jumla: Hapa waliopata habari ni Paulo na Barnaba. # walijaribu kuwashawishi viongozi wao "walijaribu kuwashawishi viongozi wa Ikonio." Hapa "walijaribu" inaashiria hawakuweza kuwashawishi kikamilifu kabla ya mitume kuondoka katika mji. # kuwatesa na kuwapiga mawe Paulo na Barnaba "kuwapiga Paulo na Barnaba na kuwaua kwa kuwaponda mawe" # Likaonia Wilaya ndani ya Asia Ndogo # Listra Mji ndani ya Asia Ndogo kusini mwa Ikonio na Kaskazini mwa Derbe # Derbe Mji ndani ya Asia Ndogo kusini mwa Ikonio na Listra # huko walikuwa wakihubiri injili "Paulo na Barnaba walihubiri injili pia huko"