sw_tn/act/13/50.md

33 lines
738 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Huu ni muda wa mwisho wa Paulo na Barnaba kukaa Antiokia ya Pisidia na wakaenda ikonia.
# Wayahudi
Hii yawezekana kuzungumzia viongozi wa Kiyahudi.
# Waliwasihi
"Kushawisha" au "kuhamasisha"
# Wanaume viongozi
"Wanaume mashuhuri"
# Haya yalichochea mateso dhidi ya Paulo na Barnaba
"Walishawishi wanaume mashuhuri na wanawake kuwatesa Paulo na Barnaba"
# waliwatupa nje ya mipaka ya mji.
"Waliwatoa Paulo na Barnaba kutoka nje ya mji"
# walikung'uta mavumbi ya miguu yao.
"Huu ulikuwa tukio la mfano kuonyesha kwa watu wasioamini kwamba Mungu alikuwa amewakataa na angeweza kuwahukumia"
# Wanafunzi
"Yawezekana ni wale waumini wapya walioamini huko Antiokia Pisidia ambao Paulo na Barnaba waliwaacha"