sw_tn/act/13/48.md

13 lines
330 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# kulisifu neno la Bwana.
"Kumsifu Mungu kwa ujumbe kuhusu Bwana Yesu"
# Wengi waliochaguliwa kwa uzima wa milele
"Watu wote ambao Mungu alikuwa amewachagua kupokea uzima wa milele"
# Neno la Bwana lilienea nchi yote
"Wale alioliamini jina la Yesu walienda kila mahali katika jimbo hilo na kuwaambia wengine habari za Yesu"