sw_tn/act/12/22.md

21 lines
437 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Hii ni sehemu ya mwisho ya simlizi ya Mfalme Herode.
# Ghafla
"Wakati huo huo" au "Wakati watu walipokuwa wakimsifia Herode"
# akampiga,
"Herode aliharibiwa" au " kikasababisha Herode kuwa mgonjwa sana"
# hakumpa Mungu utukufu
Herode akawaruhusu watu wamwabudu yeye badala ya kuwaambia wamwabudu Mungu.
# akaliwa na chango na akafa
"Chango" inaonyesha na wadudu ndani ya mwili, labda minyoo katika utumbo.