sw_tn/act/11/07.md

25 lines
913 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# nikasikia sauti
Sauti ilinena lakini bila yeyote kujidhihirisha. "Sauti" yawezekana ni Mungu, ingawa inawezekana kuwa ilikuwa sauti ya Malaika.
# Siyo hivyo
"Siwezi kufanya hivyo" linganisha na sura 10:13.
# mdomoni mwangu hakujawahi kuingia kitu chochote kisicho kitakatifu
Wanyama waliokuwa kwenye kitambaa walikuwa ni wanyama ambao sheria ya Wayahudi katika Agano la Kale iliwazuia wasiweze kuwala.
# Kichafu
Katika Agano la Kale Sheria ya Wayahudi, mtu alionekana mchafu katika njia mbalimbali, kama vile kula wanyama waliokuwa hawaruhusiwi kuliwa.
# kile Mungu alichokitangaza kuwa ni safi, usikiite najisi
Sentensi hii inaelezea juu ya wanyama waliokuwa kwenye kitambaa kikubwa cha pembe nne.
# Hii ilitokea mara tatu
Si kila tukio lilirudiwa kuonekana mara tatu, Hata hivyo neno; "Kile Mungu alichokitakasa usikiite najisi" Ni neno lilijirudia mara tatu kwa Petro. Linganisha na sura 10:13.