sw_tn/act/10/39.md

37 lines
660 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo ya jumla
Petro na Mitume na waumini ambao walikuwa pamoja na Yesu wakati akiwa hapa duniani.
# Katika nchi za Wayahudi
Inaelezea zaidi Yudea ya wakati huo.
# ambaye waliyemuua
"ambaye viongozi wa kiyahudi walimwua''
# Wakamtundika juu ya mti
Inamaanisha, "kumuwamba Yesu katika mti wa msalaba"
# Huyu mtu
"Huyu mtu Yesu"
# Mungu alimfufua
"Mungu alimfanya kuishi tena"
# siku ya tatu
"Siku ya tatu baada ya kufa kwake"
# kumpa kujulikana
"alimpa kujulikana na wengi"
# kutoka kwa wafu
"Kutoka miongoni mwa waliokwisha kufa" Linafafanua juu ya roho za watu waliokwisha kufa. Kurejea kutoka miongoni mwa hizo roho ni kuwa mzima tena.