sw_tn/act/10/03.md

17 lines
415 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# saa tisa
Hii ni muda wa Alasiri wa kawaida uliokuwa ukitumiwa na wayahudi kwa maombi.
# akaona kwa wazi
Kornelio aliona kwa wazi"
# Maombi yako na zawadi zako kwa masikini zimepanda juu kama kumbukumbu kwenye uwepo wa Mungu
Inamaanisha kuwa Misaada ya Kornerio kwa wahitaji pamoja na maombi yalimpendeza Mungu na kuwa ukumbusho kwake.
# mtengenezaji wa Ngozi
Mtu mtaalamu wa kutengeneza ngozi za wanyama.