# saa tisa Hii ni muda wa Alasiri wa kawaida uliokuwa ukitumiwa na wayahudi kwa maombi. # akaona kwa wazi Kornelio aliona kwa wazi" # Maombi yako na zawadi zako kwa masikini zimepanda juu kama kumbukumbu kwenye uwepo wa Mungu Inamaanisha kuwa Misaada ya Kornerio kwa wahitaji pamoja na maombi yalimpendeza Mungu na kuwa ukumbusho kwake. # mtengenezaji wa Ngozi Mtu mtaalamu wa kutengeneza ngozi za wanyama.