sw_tn/act/08/29.md

21 lines
681 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sogea karibu na gari hili
Filipo alifahamu kuwa ni muhimu kuwa karibu na mtu yule aliyepanda kwenye mkokoteni.
# akamsikia akisoma katika chuo cha nabii Isaya
Hiki ni kitabu cha Agano la Kale cha Nabii Isaya.
# Je unafahamu unachosoma?"
Mwethiopia alikuwa mtu mwenye akili na aliweza kusoma, lakini alikuwa na upungufu wa ufahamu wa kiroho. Filipo alimwulija, "Je! Unafahamu maana ya habari unayoisoma?
# Nitawezaje, isipokuwa mtu aniongoze kuielewa?"
Swali hili liliulizwa kusisitiza kuwa hakuweza kuelewa bila msaada. ''siwezi mpaka mtu aniongoze"
# Alimuomba filipo akae nae
Filipo alikubali kutembea naye akiwa chini ya barabara pamoja naye akiyafafanua maandiko.