# Sogea karibu na gari hili Filipo alifahamu kuwa ni muhimu kuwa karibu na mtu yule aliyepanda kwenye mkokoteni. # akamsikia akisoma katika chuo cha nabii Isaya Hiki ni kitabu cha Agano la Kale cha Nabii Isaya. # Je unafahamu unachosoma?" Mwethiopia alikuwa mtu mwenye akili na aliweza kusoma, lakini alikuwa na upungufu wa ufahamu wa kiroho. Filipo alimwulija, "Je! Unafahamu maana ya habari unayoisoma? # Nitawezaje, isipokuwa mtu aniongoze kuielewa?" Swali hili liliulizwa kusisitiza kuwa hakuweza kuelewa bila msaada. ''siwezi mpaka mtu aniongoze" # Alimuomba filipo akae nae Filipo alikubali kutembea naye akiwa chini ya barabara pamoja naye akiyafafanua maandiko.