sw_tn/act/07/57.md

21 lines
403 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# wakaziba masikio yao
Waliziba masikio yao wasiweze kusikia zaidi alichokuwa akisema Stefano.
# Nguo za nje
mavazi ya nje au nguo mojawapo walizokuwa wakivaa juu ya nguo zingine.
# Wakamtupa nje ya mji
baraza la wazee wakampiga Stefano wakamkamata kwa nguvu na kumtupa nje ya mji
# miguuni mwa
"mbele ya "kwa kusudi la kuzilinda
# kijana
Sauli alikuwa na umri wa kati ya miaka 30 wakati ule.