# wakaziba masikio yao Waliziba masikio yao wasiweze kusikia zaidi alichokuwa akisema Stefano. # Nguo za nje mavazi ya nje au nguo mojawapo walizokuwa wakivaa juu ya nguo zingine. # Wakamtupa nje ya mji baraza la wazee wakampiga Stefano wakamkamata kwa nguvu na kumtupa nje ya mji # miguuni mwa "mbele ya "kwa kusudi la kuzilinda # kijana Sauli alikuwa na umri wa kati ya miaka 30 wakati ule.