sw_tn/act/07/35.md

29 lines
665 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo ya jumla
Baada ya Waisraeli kutoka Misri, walikaa miaka 40 wakizunguka zunguka jangwani kabla Mungu hajawaongoza kuingia katika nchi aliyokuwa amewaahidi kuwapa.
# Huyu ni Musa ambaye walimkataa
Hii inarejesha nyuma matukio yaliyotunzwa
# Nani aliyekufanya mtawala na mwamuzi ?
Hili swali lilitumika kumkemea Musa."Huna mamlaka juu yetu"!
# Mtawala na mkombozi
"Kutawala juu yao na kuwaweka huru kutoka kuwa watumwa"
# Kwa mkono wa malaika
"Kwa nguvu ya malaika"
# Kipindi cha miaka arobaini
"kipindi cha miaka arobaini ambacho watu wa Israeli waliishi jangwani"
# Kutoka miongoni mwa ndugu zenu
"kutoka miongoni mwa watu wenu kuwa Nabii"