sw_tn/act/07/33.md

25 lines
475 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Vua viatu vyako
Mungu alimwambia Musa hivyo ili kumweshimu Mungu.
# Sehemu unayosimama ni mahali patakatifu
Musa, eneo unalosimama sasa ni Mungu amelifanya kuwa takatifu, Uwepo wa Mungu ukpo katika eneo hili.
# Nimeona
Nimeona kwa hakika pasipo shaka.
# Watu wangu
Watu wa Mungu "Uzao wa Abraham,Isaka na Yakobo"
# Nimeshuka ili niwaokoe
"nami nimeshuka ili kuwaondolea vifungo"
# sasa njoo
"Jiandae" au "KUwa tayari" kwenda. Mungu anatumia amri, anamwamrisha.