# Vua viatu vyako Mungu alimwambia Musa hivyo ili kumweshimu Mungu. # Sehemu unayosimama ni mahali patakatifu Musa, eneo unalosimama sasa ni Mungu amelifanya kuwa takatifu, Uwepo wa Mungu ukpo katika eneo hili. # Nimeona Nimeona kwa hakika pasipo shaka. # Watu wangu Watu wa Mungu "Uzao wa Abraham,Isaka na Yakobo" # Nimeshuka ili niwaokoe "nami nimeshuka ili kuwaondolea vifungo" # sasa njoo "Jiandae" au "KUwa tayari" kwenda. Mungu anatumia amri, anamwamrisha.