sw_tn/act/06/07.md

17 lines
438 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo ya jumla:
Msitari huu ni neno linalotoa taarifa mpya juu ya ukuaji wa kanisa.
# Neno la Mungu liliongezeka
Idadi ya watu walioliamini neno la Mungu iliendelea kuongezeka. hivyo kwa lugha nyingine neo la Mungu liliongezeka.
# Wakawa watii kwa imani
"Walikubali kuifuata njia mpya ya imani"
# Imani
Hii inaweza kuwa; 1) Ujumbe wa Injili wa matumaini katika Yesu; au 2) Mafundisho ya kanisa; au 3) Mafundisho ya kikristo.