# Maelezo ya jumla: Msitari huu ni neno linalotoa taarifa mpya juu ya ukuaji wa kanisa. # Neno la Mungu liliongezeka Idadi ya watu walioliamini neno la Mungu iliendelea kuongezeka. hivyo kwa lugha nyingine neo la Mungu liliongezeka. # Wakawa watii kwa imani "Walikubali kuifuata njia mpya ya imani" # Imani Hii inaweza kuwa; 1) Ujumbe wa Injili wa matumaini katika Yesu; au 2) Mafundisho ya kanisa; au 3) Mafundisho ya kikristo.