forked from WA-Catalog/sw_tn
29 lines
966 B
Markdown
29 lines
966 B
Markdown
|
# Sentensi unganishi
|
||
|
|
||
|
Baada ya kuponywa kwa mtu aliyekuwa hawezi kutembea, Petro anaongea na umati.
|
||
|
|
||
|
# Maelezo ya jumla
|
||
|
|
||
|
Katika ukumbi uluokuwa ukiitwa Solomoni. Hapa iko wazi kuwa Petro alitumia eneo hili kutoa hotuba yake, haikuwa ndani ya hekalu ambamo ni makuhani tu walioruhusiwa kuingia.
|
||
|
|
||
|
# maajabu makuu
|
||
|
|
||
|
"kujawa na mshangao" au "Kaduwaa"
|
||
|
|
||
|
# Wakati Petro alipoona hiki
|
||
|
|
||
|
"Petro alipoona mkutano unaongezeka na kuzidi kushangaa.
|
||
|
|
||
|
# Ninyi watu wa Israeli
|
||
|
|
||
|
"Waisraeli wenzangu". Petro akizungumza na mkutano. Neno "watu" katika mkutadha huu inahusisha kila mmoja aliyepo.
|
||
|
|
||
|
# kwa nini mnashangaa?
|
||
|
|
||
|
Petro anauliza swali hili ili kuwaambia watu wasishanganzwe na kile kimetokea.
|
||
|
|
||
|
# Kwa nini mnayaelekeza macho yenu kwetu, kama kwamba tumemfanya huyu atembee kwa nguvu zetu wenyewe au uchaji wetu?
|
||
|
|
||
|
Petro anawauliza swali hili ili kuwathibitishia kuwa tukio hilo halikutendwa na wao yaani Petro na Yohana, hivyov wasiwatazame wao kama ndiyo waliomponya yule kiwete.
|
||
|
|