sw_tn/act/02/20.md

21 lines
382 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Petro anahitimisha kumnukuu nabii Joeli.
# Jua litageuzwa kuwa giza
Inamaanisha kwamba, jua litaonekana kuwa jeusi badala ya kutoa nuru.
# na mwezi kuwa damu
Inamaanisha kwamba, mwezi utaonekana mwekundu kama damu.
# Ya ajabu
"Si ya kawaida" au "muhimu"
# kila mmoja ambaye huliitia jina la Bwana ataokoka
"Bwana atamwokoa kila mmoja ambaye anamwita"