# Sentensi unganishi Petro anahitimisha kumnukuu nabii Joeli. # Jua litageuzwa kuwa giza Inamaanisha kwamba, jua litaonekana kuwa jeusi badala ya kutoa nuru. # na mwezi kuwa damu Inamaanisha kwamba, mwezi utaonekana mwekundu kama damu. # Ya ajabu "Si ya kawaida" au "muhimu" # kila mmoja ambaye huliitia jina la Bwana ataokoka "Bwana atamwokoa kila mmoja ambaye anamwita"