sw_tn/act/01/09.md

25 lines
559 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# wakiwa wanatazama juu
"mitume wakiwa wanaangalia juu mawinguni" wakati Yesu akiinuliwa na mawingu kwenda juu.
# Yeye aliinuliwa juu
Mungu alimwinua juu ya anga
# wingu likamficha toka katika macho yao
" na wingu liliwazuia kumwona hivyo wasingelimwona tena"
# kuangalia kwa makini mbinguni
"Kutazama mawinguni" au "kukaza macho kwenye mawingu"
# Ninyi wanaume wa Galilaya
Malaika anazungumza na mitume kama watu waliotoka Galilaya.
# atarudi kwa namna ile ile
Yesu atarudi katika mawingu , kama ilivyokuwa wakati wa kupaa kwake kwenda mbinguni.