sw_tn/2th/03/01.md

33 lines
826 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Paulo anawaomba waumini waombe kwa ajili yake na wenzake
# Na sasa
Paulo anatumia neno "sasa" kubadilisha mada.
# ndugu
hapa neno "ndugu" linamaanisha wakristo wenzetu, linajumisha wanaume na wanawake. AT: "ndugu wa kiume na wakike"
# neno la Bwana liweze kuenea na kutukuzwa
Paulo anaongea kutawanya kana kwamba Neno la Mungu linakimbia toka sehemu moja kwenda sehemu nyingine. AT: "kwamba watu wengi zaidi na zaidi hivi karibuni watasikia ujumbe wetu kuhusu Bwana wetu Yesu na kuuheshimu"
# kwamba tuweze kuokolea
Hili linaweza kusemwa katika muundo tendaji: AT: "kwamba Mungu atuokoe" au " kwamba Mungu aweze kutuokoa sisi"
# Kwa sababu sio wote wanayo imani
"kwa kuwa watu wengi hawaamini katika Yesu"
# ambaye atawaimarisha ninhyi
"ambaye atawaimarisha ninyi"
# yule mwovu
"Shetani"