sw_tn/2th/02/11.md

17 lines
478 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kwa sababu hii
" Kwa sababu watu hawapendi kweli"
# Mungu anawatumia kazi yenye uongo ili waamini uongo
Paulo anaongea kuwa Mungu anaruhusu kitu kutokea kwa watu kana kwamba anawatumia. AT: "Mungu anaruhusu mtu wa kuasi awadanganye"
# wote watahukumiwa
Hii inaaweza kusemwa katika muundo tendaji. AT:" Mungu atawahukumu wote"
# wale ambao hawakuamini kweli badala yake wakajifurahisha katika udhalimu
"wale ambao walifurahia udhalimu kwa sababu hawakuiamini kweli"