# Kwa sababu hii " Kwa sababu watu hawapendi kweli" # Mungu anawatumia kazi yenye uongo ili waamini uongo Paulo anaongea kuwa Mungu anaruhusu kitu kutokea kwa watu kana kwamba anawatumia. AT: "Mungu anaruhusu mtu wa kuasi awadanganye" # wote watahukumiwa Hii inaaweza kusemwa katika muundo tendaji. AT:" Mungu atawahukumu wote" # wale ambao hawakuamini kweli badala yake wakajifurahisha katika udhalimu "wale ambao walifurahia udhalimu kwa sababu hawakuiamini kweli"