sw_tn/2pe/01/01.md

29 lines
720 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Simon Petro
"Kutoka Kwa Simoni Petro." Lugha Yako inaweza kuwa na namna fulani ya kumtambulisha mwandishi wa barua. Mimi Simon Petro niliandika barua hii.
# Mtumwa na Mtume waYesu Kristo
Petro anaongelea mtazamo wake wa kuwa mtumwa wa Yesu Kristo. Pia alipewa nafasi na mamlaka ya kuwa mtume wa Kristo
# Kwa wale
Petro anaonekana kuwaandikia waumini wote watakaosoma waraka huu. Kwenu waumini.
# Tumepokea
Sisi mitume tumepokea
# Neema iwe kwenu
Neno "ninyi" linamaanisha waumini wote kwa ujumla
# Yesu Bwana wetu
Yesu Bwana wa waumin na Mitume
# Neema na iwe kwenu;amani iongezeke kupitia maarifa ya Mungu na Yesu Bwana wetu.
Upole wenu na amani uongezeka kwa sababu mnamjua Mungu na Yesu Bwana wetu.