# Simon Petro "Kutoka Kwa Simoni Petro." Lugha Yako inaweza kuwa na namna fulani ya kumtambulisha mwandishi wa barua. Mimi Simon Petro niliandika barua hii. # Mtumwa na Mtume waYesu Kristo Petro anaongelea mtazamo wake wa kuwa mtumwa wa Yesu Kristo. Pia alipewa nafasi na mamlaka ya kuwa mtume wa Kristo # Kwa wale Petro anaonekana kuwaandikia waumini wote watakaosoma waraka huu. Kwenu waumini. # Tumepokea Sisi mitume tumepokea # Neema iwe kwenu Neno "ninyi" linamaanisha waumini wote kwa ujumla # Yesu Bwana wetu Yesu Bwana wa waumin na Mitume # Neema na iwe kwenu;amani iongezeke kupitia maarifa ya Mungu na Yesu Bwana wetu. Upole wenu na amani uongezeka kwa sababu mnamjua Mungu na Yesu Bwana wetu.