sw_tn/1ti/05/17.md

29 lines
678 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi uanganishi:
Paulo tena anazungumzia jinsi wazee (maaskofu) wanapaswa kutunzwa na kisha kumpa Timotheo maelezo binafsi.
# watambue wazee wanaoongoza vyema
"Ninyi waumini wote mnapaswa kufikiri kama mnastahili"
# Heshima mara mbili
Maana inawezekana ni 1) "ya heshima na malipo" au 2) "heshima zaidi kuliko wengine wapokeavyo"
# wale wanaofanya kazi na neno na katika kufundisha
"wale wanaohubiri na kufundisha neno la Mungu"
# kufunga
kifaa kianachowekwa kwenye pua na mdomo wa mnyama ili kumzuia kula wakati anafanya kazi.
# kupura nafaka
Hii ni njia ya kutenganisha nafaka na makapi kwa kutumia mkokoteni unaovutwa na ng'ombe
# anastahili
"inastahili"