sw_tn/1th/05/25.md

17 lines
263 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# maelezo ya jumla
Paulo anatoa kauli zake za kufunga
# ndugu
Hapa "ndugu" ya maanisha wa Kristo
# nawasihi katika Bwana
"nawauliza, kama ni Bwana anazungumza nanyi"
# barua hii isomwe
hii yawezwa tajwa katika kauli tendaji, "ninyi nyote msome hii barua"