# maelezo ya jumla Paulo anatoa kauli zake za kufunga # ndugu Hapa "ndugu" ya maanisha wa Kristo # nawasihi katika Bwana "nawauliza, kama ni Bwana anazungumza nanyi" # barua hii isomwe hii yawezwa tajwa katika kauli tendaji, "ninyi nyote msome hii barua"