sw_tn/1th/05/19.md

17 lines
393 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Msimzimishe Roho
"Msimzuie Roho Mtakatifu kufanya kazi ndani yenu"
# Msiudharau unabii
"Msiwe na dharau kwa unabii" au "Msichukie chochote ambacho Roho Mtakatifu atamueleza mtu"
# Jaribuni kila Jambo
"Kakikisha kuwa kila unabii ni kweli na unatoka kwa Mungu"
# shikilia lililo jema
Paulo anazungumza ujumbe za Roho Mtakatifu kama ni vitu ambavyo mtu anaweza shika mikononi mwake.