sw_tn/1th/05/15.md

13 lines
375 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Furahini siku sote, Ombeni bila ukomo, Mshukuruni Mungu kwa kila jambo
Paulo anawatia moyo waumini kuendeleza tabia ya kiroho ya kufurahi kwa kila jambo, kuwa na juhudi katika maombi, na kutoa shukurani kwa mambo yote.
# kila jambo
katika hali zote
# Kwa kuwa haya ni mapenzi ya Mungu
Paulo anaeleza zile tabia alizo zitaja kuwa ni mapenzi ya Mungu kwa waamini wote.