sw_tn/1pe/04/01.md

17 lines
482 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kwa hiyo,
Neno hili linahitimisha mawazo ya Mtume Petro kwa kundi alilokuwa akiongea nalo.
# Katika mwili
Katika mwili wake
# Jivikeni wenyewe silaha za nia ileile
Neno "jivikeni wenyewe" linaelezea maaskari wanaotwaa silaha zao na kujiandaa kwa vita. Hapa inamaanisha kwamba waumini kuwa na dhamira katika mawazo yao ya kuteswa kama Yesu alivyoteswa. "Jiandae mwenyewe kutenda sawa na ilivyokuwa kwa Yesu"
# wenyewe
Neno linafafanua kuhusu waumini katika sura ya kwanza.