sw_tn/1co/15/29.md

13 lines
517 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Au sivyo watafanya nini wale waliobatizwa kwa ajili wafu?
Kwa ufafanuzi Paulo anasema "vinginevyo ingekuwa haina maana kwa Wakristo kubatizwa kwa niaba ya wafu."
# kwa nini tena wanabatizwa kwa ajili yao?
Paulo anataka jambo hili lifahamike kwa Wokorintho hata kabla hajalisema kwao ya kwamba " hakuna sababu yoyote kupokea au kubatizwa kwa niaba ya watu walikwisha fariki"
# Na kwa nini tuko katika hatari kila saa?
Kwa maneno mengine ni kusema " hatupati faida yoyote kwa kujiweka katika hatari muda wote"