sw_tn/1co/14/29.md

13 lines
355 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# manabii wawili au watatu wanene,
inaweza kumaanisha: 1) Manabii wawili au watatu tu wahutubie katika kusanyiko moja au 2)Manabii wawili au watatu tu wapokezane katika kunena kwa wakati mmoja.
# kilichosemwa
katika muundo tendaji ni " kile wanachonena"
# akifunuliwa jambo
katika muundo tendaji unaweza kusema " Kama Mungu akimpa ufunuo mtu mmoja"