sw_tn/1co/13/04.md

13 lines
344 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Upendo huvumilia na hufadhili....huvumilia mambo yote
Paulo anazungumzia upendo kama kitu chenye nafsi hai.
# hauoni uchungu haraka,
Hii inaweze kuelezewa katika muundo tendaji kama " hakuna mtu atakayeufanya upendo upate hasira kwa haraka"
# Haufurahii udhalimu. Badala yake, hufurahi katika kweli
"hufurahia katika uadilifu na kweli"