# Upendo huvumilia na hufadhili....huvumilia mambo yote Paulo anazungumzia upendo kama kitu chenye nafsi hai. # hauoni uchungu haraka, Hii inaweze kuelezewa katika muundo tendaji kama " hakuna mtu atakayeufanya upendo upate hasira kwa haraka" # Haufurahii udhalimu. Badala yake, hufurahi katika kweli "hufurahia katika uadilifu na kweli"