sw_tn/1co/11/05.md

21 lines
589 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# mwanamke aombae...anakiaibisha kichwa chake
Hii inaweza kumaanisha 1) "wanamke anayeomba ...hujiaibisha mwenyewe" au 2) mke anayeomba...huleta aibu kwa mume wake"
# kichwa chake kikiwa wazi
bila vazi lililovaliwa juu ya kichwa ambalo lilifunika mabega na nywele
# kukata nywele zake
ni kana kwamba ameondoa nywele zake zote kwenye kichwa chake kwa wembe
# ni aibu mwanamke
Ilikuwa ni ishara ya aibu au uzalilishaji kwa mwanamke kunyoa nywele zake au kuzipunguza
# kufunika kichwa chake
Mwanamke kuvaa nguo ambayo ilivaliwa juu ya kichwa iliyofunika mabega pamoja na nywele.