# mwanamke aombae...anakiaibisha kichwa chake Hii inaweza kumaanisha 1) "wanamke anayeomba ...hujiaibisha mwenyewe" au 2) mke anayeomba...huleta aibu kwa mume wake" # kichwa chake kikiwa wazi bila vazi lililovaliwa juu ya kichwa ambalo lilifunika mabega na nywele # kukata nywele zake ni kana kwamba ameondoa nywele zake zote kwenye kichwa chake kwa wembe # ni aibu mwanamke Ilikuwa ni ishara ya aibu au uzalilishaji kwa mwanamke kunyoa nywele zake au kuzipunguza # kufunika kichwa chake Mwanamke kuvaa nguo ambayo ilivaliwa juu ya kichwa iliyofunika mabega pamoja na nywele.