forked from WA-Catalog/sw_tn
33 lines
1.2 KiB
Markdown
33 lines
1.2 KiB
Markdown
|
# sentensi Unganishi
|
||
|
|
||
|
Paulo anawakumbusha Wakorintho mfano wa tabia ambaya( uovu) na ibada ya sanamu wa baba zao wakongwe wa Kiyahudi
|
||
|
|
||
|
# baba zetu
|
||
|
|
||
|
Paulo anarejea kwenye wakati wa Musa katika kitabu cha Kutoka wakati Waisraeli walikimbia kupitia bahari ya chumvi wakati majeshi ya Wamisri yakiwafuatilia. Neno "yetu" linamhusu Paulo mwenyewe pamoja na Wakorintho.
|
||
|
|
||
|
# walipita katika bahari
|
||
|
|
||
|
Hii bahari inajulikana kwa majina mawili, Bahari ya chumvi na Bahari ya matete.
|
||
|
|
||
|
# walipita
|
||
|
|
||
|
"walipita kwa kutembea" au "walisafiri kupitia"
|
||
|
|
||
|
# Wote walibatizwa wawe wa Musa katika wingu
|
||
|
|
||
|
"Wote walimfuata na walijidhatiti kwa Musa"
|
||
|
|
||
|
# ndani ya wingu
|
||
|
|
||
|
kwa wingu lililowakilisha uwepo wa Mungu na liliwaongoza Waisraeli wakati wa mchana."mwamba" unawakilisha uimara haswa wa Kristo, ambaye alikuwa pamoja nao wakati wote. Wangetegemea ulinzi na faraja yake.
|
||
|
|
||
|
# walikunywa kinywaji kile kile cha roho... mwamba wa roho
|
||
|
|
||
|
" walikunywa maji yale yale ambayo Mungu aliyatoa kwenye mwamba kwa muujiza .... mwamba wa rohoni( mwujiza)
|
||
|
|
||
|
# mwamba ule ulikuwa ni Kristo
|
||
|
|
||
|
"mwamba" ulikuwa mwamba wa kawaida ulioonekana kwa macho, hata hivi mwamba huo ulikuwa ukiwakilisha nguvu za Kristo zilizofanya kazi ndani yake " alikuwa Kristo aliyefanya kazi kupitia ule mwamba"
|
||
|
|