sw_tn/1co/09/07.md

21 lines
785 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Ni nani afanyaye kazi kama askari kwa gharama zake mwenyewe?
" Wote tunajua kuwa askari hatumii vifaa vyake mwenyewe." au " Wote tunajua kuwa kila askari hupokea vifaa kutoka serikalini"
# Ni nani apandaye mzabibu asile matunda yake?
" Wote tunajua kuwa yule anayepanda shamba la zabibu atakula matunda yake." au " Wote tunajua kuwa hakuna anayetarajia mtu aliyepanda shamba la zabibu asile matunda yake."
# Au na nani achungaye kundi asiyekunywa maziwa yake?
" Wote tunafahamu kuwa wale wachungao kundi hupata kinywaji chao kutoka kundini."
# Je ninasema haya kwa mamlaka ya kibinadamu?
"Mnafikiri kuwa ninasema mambo haya kwa matakwa ya mamlaka ya kibinadamu."
# Sheria nayo pia haisemi haya?
"Mnatenda haya kana kwamba hamjui hivi ndivyo imeandikwa katika sheria."