sw_tn/1co/08/intro.md

18 lines
637 B
Markdown
Raw Normal View History

2021-09-10 19:12:24 +00:00
# 1 Wakorintho 08 Maelezo ya Jumla
### Muundo na upangiliaji
Katika Sura ya 8-10, Paulo anajibu swali hili: "Je, inakubalika kula nyama ambayo imetolewa dhabihu kwa sanamu?"
### Dhana maalum katika sura hii
#### Nyama iliyotolewa dhabihu kwa sanamu
Paulo anajibu swali hili kwa kusema kwamba sanamu ni miungu ambayo haipo. Kwa hiyo hakuna ubaya wowote kwa hiyo nyama. Wakristo wana uhuru wa kula. Hata hivyo, mtu asiyeelewa hii anaweza kuona Mkristo akila. Wanaweza kisha kuhimizwa kula nyama kama kitendo cha ibada kwa sanamu.
## Links:
* __[1 Corinthians 08:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../07/intro.md) | [>>](../09/intro.md)__