sw_tn/1co/06/09.md

41 lines
683 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Hamjui kwamba
Paulo anaelezea kwamba wanapaswa tayari kuwa wanaujua ukweli huu. "Tayari umejua vile"
# Wasio haki hawatarithi
"wenye haki tu watarithi"
# kurithi ufalmewa Mungu
Mungu hatawahukumu kama wenye haki katika hukumu, na hawataingia katika uzima wa milele.
# Wafiraji
Hawa ni malaya ambao ni wanaume hulala na wanaume wengine.
# Wale wanaofanya uzinzi
Wanaume ambao hulala na wanumewengine(Walawiti)
# wenye tamaa
watu walio tayari kutumia njia mbaya kujipatia mali
# wadhalimu
"matapeli"
# mlisafishwa
Mungu amewasafisha
# mliwekwa wakfu kwa Mungu
Mungu amewatenga kwa ajili yake.
# Mmefanywa haki pamoja na Mungu
Mungu amewafanya haki pamoja na yeye