# Hamjui kwamba Paulo anaelezea kwamba wanapaswa tayari kuwa wanaujua ukweli huu. "Tayari umejua vile" # Wasio haki hawatarithi "wenye haki tu watarithi" # kurithi ufalmewa Mungu Mungu hatawahukumu kama wenye haki katika hukumu, na hawataingia katika uzima wa milele. # Wafiraji Hawa ni malaya ambao ni wanaume hulala na wanaume wengine. # Wale wanaofanya uzinzi Wanaume ambao hulala na wanumewengine(Walawiti) # wenye tamaa watu walio tayari kutumia njia mbaya kujipatia mali # wadhalimu "matapeli" # mlisafishwa Mungu amewasafisha # mliwekwa wakfu kwa Mungu Mungu amewatenga kwa ajili yake. # Mmefanywa haki pamoja na Mungu Mungu amewafanya haki pamoja na yeye