sw_tn/1co/06/07.md

13 lines
306 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# usumbufu
"shindwa" au "poteza"
# Kwanini msumbuke kwa mabaya? Kwaninimruhusu ninyi wenyewe kudanganywa?
"Ni bora kuacha wengine kuwafanyia mabaya na kuwadanganya kuliko kuwapeleka mahakamani,"
# kaka na dada zenu wenyewe
Waumini wote katika Kristo ni kaka na dada kwa kila mmoja. "Waumini wenzako"