forked from WA-Catalog/sw_tn
33 lines
1.2 KiB
Markdown
33 lines
1.2 KiB
Markdown
|
# Sentensi Unganishi
|
||
|
|
||
|
Paulo anaelezea jinsi waumini wanavyoweza kusuruhisha migogoro miongoni mwao
|
||
|
|
||
|
# Tatizo
|
||
|
|
||
|
"Kutokubaliana" au "Mabishano"
|
||
|
|
||
|
# je anathubutu kwenda kwa mahakama ya dunia mbele ya hakimu asiyeamini, kuliko mbele ya waumini?
|
||
|
|
||
|
Paulo asema kwamba Wakristo lazima wamalize matatizo miongoni mwao wenyewe. " Asithubutu kwenda.... waumini" au " anapaswa kuwa na hofu ya Mungu na asiende...waumini!"
|
||
|
|
||
|
# mahakama ya wasio haki
|
||
|
|
||
|
Ni sehemu ambapo hakimu wa serikali huamua kesi na kuamua nani aliye na haki.
|
||
|
|
||
|
# Hamjuwi kwamba waumini watauhukumu ulimwengu?
|
||
|
|
||
|
Paulo anawafanya Wakoritho wapate aibu kwa kutenda kana kwamba hawajui
|
||
|
|
||
|
# Kama mtauhukumu ulimwengu, hamuwezikuweka sawa mambo yasiyo ya muhimu?
|
||
|
|
||
|
Paulo anasema baadaye watapewa wajibu mkubwa, hivyo kwa sasa lazima kushughulikia haya maswala madogo. "Mtauhukumu ulimwengu wakati ujao, hivyo mnaweza kusuruhisha tatizo hili kwa sasa."
|
||
|
|
||
|
# Je mnajui kwamba tutawahukumu malaika?
|
||
|
|
||
|
Paulo anashangaa maana wanaonekana hawajui "Mnajua kwamba tutawahukumu malaika."
|
||
|
|
||
|
# Kwa kiasi gani zaidi, tunaweza kuamua mambo ya maisha haya?
|
||
|
|
||
|
"Kwa sababu tunajua kuwa tutawahukumu malaika, na katika maisha haya tunauhakika kuwa Mungu anauwezo wa kuhukuma mambo mbali mbali."
|
||
|
|