forked from WA-Catalog/sw_tn
17 lines
620 B
Markdown
17 lines
620 B
Markdown
|
# Bwana wa utukufu
|
||
|
|
||
|
"Yesu, Bwana wa utukufu."
|
||
|
|
||
|
# Mambo ambayo hakuna macho...hayakufikiri, mambo ambayo ...wampendao Mungu
|
||
|
|
||
|
Inataja sehemu tatu za mwili wa mtu kumaanisha kwamba hakuna mtu aliyekwisha kuwa na ufahamu wa kina kwa vitu ambavyo Mungu ameandaa.
|
||
|
|
||
|
# Mambo mbayo hakuna jicho limeyaona, hakuna sikio lililoyasikia, mawazo hayakufikiri
|
||
|
|
||
|
Inataja sehemu tatu za mwili wa mtu kumaanisha kwamba hakuna mtu aliyekwisha kuwa na ufahamu wa kina kwa vitu ambavyo Mungu ameandaa.
|
||
|
|
||
|
# Vitu vile Mungu amekwisha andaa kwa wale wanampenda yeye.
|
||
|
|
||
|
Bwana amekwisha umba mbinguni vitu vya ajabu kwa wote wanaompenda yeye.
|
||
|
|